UCHAMBUZI WA KITABU; THE SMALL BUSINESS BIBLE (Kila Kitu Unachopaswa Kujua Ili Kufanikiwa Kwenye Biashara Ndogo).

Uchumi wa nchi yoyote ile duniani, unategemea sana kwenye biashara ndogo. Hii ni kwa sababu ni biashara ambazo watu wanaweza kuanzisha, wakajiajiri wao na hata kuajiri wengine na pia zikachangia kwenye kulipa kodi. Njia ya uhakika ya kuwawezesha watu kuondoka kwenye umasikini, ni biashara ndogo. Hii ni kwa sababu biashara hizi zinawapatia kipato ambacho hakina... Continue Reading →

UCHAMBUZI WA KITABU; Raising Positive Kids In A Negative World (Jinsi Ya Kulea Watoto Wenye Mtazamo Chanya Kwenye Dunia Hasi).

Hakuna awezaye kubisha kwamba tunaishi kwenye dunia ambayo ni hasi. Dunia ambayo ukisoma gazeti, kuangalia TV, kusikiliza redio au kuperuzi mitandao ya kijamii, kipaumbele kikubwa ni habari mbaya na zenye kutia hofu. Tunaishi kwenye dunia ambayo matumizi ya madawa ya kulevya, ulevi na matendo ya ngono na ubakaji yanazidi kuwa mengi. Dunia hii imekuwa changamoto... Continue Reading →

Mambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu Kinachoitwa LETTERS From A SELF-MADE MERCHANT To His SON.

Wiki hii tunajifunza kwenye kitabu kinachoitwa LETTERS from a SELF-MADE MERCHANT to his SON. Kitabu hiki kimeandikwa na George Horace. Kitabu hiki kinahusu barua za Mfanyabiashara ambazo alikua akiziandika kwenda kwa mwanae. Tajiri huyu alikua akimwandikia mwanae toka akiwa chuoni hadi alipokua anafanya kazi na hata alipokua akipitia mambo kadha wa kadha. Barua hizo zilikua... Continue Reading →

Mambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu The One Thing.

Habari rafiki, ni matumaini yangu waendelea vizuri. Wiki hii tunaendelea na utaratibu wetu wa kushirikishana mambo 20 nilijifunza kwenye kitabu. Leo tunajifunza kutoka kwenye kitabu kinaitwa The ONE THING- the surprisingly truth behind the extraordinary results. Kitabu kimeandikwa na Gary Keller pamaoja na Jay Papasan. Kwa ufupi kitabu hiki ni kizuri sana. Hupaswi kukosa mambo... Continue Reading →

KITABU; Kwa Nini Wewe Ni Mjinga, Masikini Na Mgonjwa(Why You’re Dumb, Sick And Broke)

Rafiki yangu na msomaji mzuri wa AMKA MTANZANIA bwana Jiduma Luhende kitambo kidogo alinitumia kitabu hiki kinachoitwa Why You’re Dumb, Sick And Broke kilichoandikwa na Randy Gage. Baada ya kukisoma kitabu hiki nimejifunza mambo mengi sana kwa nini ujinga, maradhi na umasikini tunavikaribisha sisi wenyewe. Ujinga, umasikini na hata maradhi yanayokusumbua wewe umeyakaribisha wewe mwenyewe... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑