Kama Upo Makini Na Biashara Yako Na Unataka Mafanikio Makubwa Kwenye Maisha Yako, Usikose Semina Hii Ya Kipekee Sana Kwako.

Rafiki yangu mpendwa, Tunapitia wakati ambao umekuwa na changamoto nyingi sana. Kwanza kabisa, kwa wengi, hasa wale waliopata elimu mpaka ya juu, wanaona kama walidanganywa maisha yao yote. Walipokuwa shule waliimbiwa sana kuhusu kusoma kwa bidii, kufaulu na kisha kupata kazi nzuri na kuwa na maisha bora. Wakatimiza hili, wakasoma sana kwa bidii, wakafaulu vizuri,... Continue Reading →

Mambo Matano Ya Kuzingatia Katika Kuendesha Na Kukuza Biashara Kwenye Nyakati Ngumu Kiuchumi.

Rafiki yangu mpendwa, Hakuna kipindi kizuri kukuza biashara yako na kupata mafanikio makubwa kama kipindi ambacho ni kigumu kiuchumi. Hii ni kwa sababu watu wengi wanakuwa wamepoa, wanakuwa wamekata tamaa na kuona hakuna biashara. Hivyo sehemu kubwa ya soko inakuwa haijafikiwa. Hali ngumu ya kiuchumi huwa inaleta sononeko kwa kila mtu. Pale biashara zinapokuwa zinafungwa... Continue Reading →

Kitu Kimoja Muhimu Unachopaswa Kufanya Kwenye Miaka 10 Ya Mwanzo Ya Biashara Yako Kama Unataka Mafanikio Makubwa.

Rafiki yangu mpendwa, Zipo sababu mbalimbali za kuingia kwenye biashara, wengi wanaingia kwa sababu hawana cha kufanya na wanataka fedha zaidi. Na wapo wanaoingia kwa sababu wanataka kufanikiwa zaidi, wanataka kutengeneza kitu kitakachosimama kwa miaka mingi zaidi. Nimekuwa nawaambia kitu kimoja, biashara yoyote unayotaka kujihusisha nayo, angalia miaka 50 ijayo, kama huwezi kuendelea kuifanya kwa... Continue Reading →

Barua Ya Wazi Kwa Vijana Wanaotafuta Ajira, Walioajiriwa Lakini Ajira Haziwaridhishi Na Waliojiajiri Lakini Wanaona Mambo Hayaendi.

Habari za leo rafiki yangu, Hongera kwa nafasi hii nyingine nzuri sana ya leo ambapo tumepata nafasi ya kipekee ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kama ambavyo nimekuwa nakuambia kila wakati, MAFANIKIO NI HAKI YAKO YA KUZALIWA, wewe mwenyewe ndiye mwenye mamlaka ya mwisho kwenye maisha yako ya mafanikio. Leo... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑