Habari rafiki?
Hongera kwa kuendelea kutembelea mtandao huu wa AMKA MTANZANIA.
Nina imani yapo mengi unayojifunza na ndiyo maana bado tupo pamoja.
Nina habari nzuri zaidi kwako kwamba unaweza kuwa unapokea makala nzuri zaidi kwenye email yako moja kwa moja.
Ili uweze kupokea makala hizo, unahitaji kujiandikisha kwenye mfumo wetu wa email.
Kwa kujiandikisha, kila siku ya Jumanne, Alhamisi na Jumapili utapokea ujumbe wa mafunzo, hamasa na hata huduma mbalimbali tunazotoa moja kwa moja kwenye email yako.
Kupata huduma hii, bonyeza maandishi haya na jaza fomu itakayofunguka. Ukishajaza taarifa zako, bonyeza kujiunga na hapo utaweza kupokea makala na mafunzo kwa email.
Karibu sana tuendelee kuwa pamoja, tujifunze na kuhamasika ili kuwa na MAISHA BORA, YENYE FURAHA NA MAFANIKIO MAKUBWA.
Rafiki yako,
Kocha Makirita Amani.
Kama bado hujajiunga bonyeza hapa.
Kwa mara ya kwanza nakutana na blog hii,lakini ndani ya muda mfupi wa kupitia vichwa nikajikuta nimeipenda mno.natumaini nitakuwa nanyi kila nipatapo nafasi
LikeLike
Ebwana mawazo unayo yatoa ktk blog hii nimeyakubali kwa 100%Na nitajitahidi kusoma nifaidike na kuwashauri wengine kusoma hiki kitabu
LikeLike
Kaka hii blog inashika ile mbaya ukianza kuisoma unasahau hata kazi
LikeLike
Nimependa blog hii hakika inaelimisha sana kazi nimekuwa kwetu tu kujifunza mengi ambayo hutayapata ktk mfumo wa elimu ya nchi yetu.
LikeLike
Karibu sana mkuu. Washirikishe wengine ili nao wapate mambo haya mazuri.
LikeLike
NDANI YA DK 10, NIMEIKUBALI BLOG YAKO MH!
I DO BELIEVE NITAI VISIT KILA MARA!
IT IS A GREAT BLOG FOR GREAT LIFE
LikeLike
NIMEWAKUBALI, PAMOJA XANA
LikeLike
mbona mie nimeshajiunga ila sipati makala wa kitabu chochote
LikeLike
Habari Felix,
Inawezekana hupati vitabu na makala kwa sababu hukukamilisha kujiunga. Unapoweka email yako bonyeza submit/subscribe kisha unatumiwa email ya kuruhusu utumiwe vitu. Ukishabonyeza link kwenye email uliyotumiwa ndio unakuwa umeunganishwa na mtandao wa AMKA MTANZANIA.
Pole kwa usumbufu na tafadhali jiunge tena.
Karibu sana.
LikeLike
ubarikiwe bwana amani, naongeza kingine juhudi ya binadamu + uwezo wa Mungu = mafanikio au Divine Power +Human Effort =success. hiyo ndo kanuni pekee ya kufanikiwa, kuna mafaniko pasipo Mungu ni bure mafanikio yenye Mungu ndani yake hayo mafanikio yanadumu na kuendelea kizazi hadi kizazi
LikeLike
Mafunzo kamili ya ujasiliamali yapo hapa, kuna mengi ya kujifunza na hata kuchangia!
LikeLike
penda san hii blog
LikeLike
Mazee mimi nimekubari tanzania kuna vipaji
LikeLike
good, blogs nyingi wanafikiria kuweka picha za ngono ndio maendeleo, you think better
LikeLike
jaman mm mbona kila nikijisajili naambiwa nibonyeze link ktk email ntayotumiwa ila siioni hyo email ikitumwa sijui tatizo ni nini
LikeLike
mnanjua why mmezaliwaa
LikeLike
IKO POWA SANA BROTHER KAMA BLOGERS WOTE WANGEKUWA NA BLOG KAMA HIZI VIJANA TUNGEBADILIKA THANX #AMKATANZANIA
LikeLike
PAMOJA WOTE
LikeLike
Hongereni kwa makala yenu tutajifunza zaidi na zaidi
LikeLike
Mpo vizuri sana!!
LikeLike
HII IMETULIA SANA MAANA HATA KWENYE MITAALA YA ELIMU YA NCHI YETU HAIMO. ENDELEA KUFUATILIA
LikeLike
Dah broo nimeipenda saaana elimu yako na kuanzia leo nilipoisoma nataka kuanza kuifanyia kazi effectively kaka GOD BLESS YOU
LikeLike
thanx
LikeLiked by 1 person
Akhsante
LikeLiked by 1 person
GOD BLESS YOU BROO
LikeLike
Ubarikiwe.
LikeLike