JIUNGE NA MTANDAO HUU

Habari rafiki?

Hongera kwa kuendelea kutembelea mtandao huu wa AMKA MTANZANIA.

Nina imani yapo mengi unayojifunza na ndiyo maana bado tupo pamoja.

Nina habari nzuri zaidi kwako kwamba unaweza kuwa unapokea makala nzuri zaidi kwenye email yako moja kwa moja.

Ili uweze kupokea makala hizo, unahitaji kujiandikisha kwenye mfumo wetu wa email.

Kwa kujiandikisha, kila siku ya Jumanne, Alhamisi na Jumapili utapokea ujumbe wa mafunzo, hamasa na hata huduma mbalimbali tunazotoa moja kwa moja kwenye email yako.

Kupata huduma hii, bonyeza maandishi haya na jaza fomu itakayofunguka. Ukishajaza taarifa zako, bonyeza kujiunga na hapo utaweza kupokea makala na mafunzo kwa email.

Karibu sana tuendelee kuwa pamoja, tujifunze na kuhamasika ili kuwa na MAISHA BORA, YENYE FURAHA NA MAFANIKIO MAKUBWA.

Rafiki yako,

Kocha Makirita Amani.

Kama bado hujajiunga bonyeza hapa.

 

 

88 thoughts on “JIUNGE NA MTANDAO HUU

Add yours

 1. Kwa mara ya kwanza nakutana na blog hii,lakini ndani ya muda mfupi wa kupitia vichwa nikajikuta nimeipenda mno.natumaini nitakuwa nanyi kila nipatapo nafasi

  Like

 2. Habari Felix,
  Inawezekana hupati vitabu na makala kwa sababu hukukamilisha kujiunga. Unapoweka email yako bonyeza submit/subscribe kisha unatumiwa email ya kuruhusu utumiwe vitu. Ukishabonyeza link kwenye email uliyotumiwa ndio unakuwa umeunganishwa na mtandao wa AMKA MTANZANIA.
  Pole kwa usumbufu na tafadhali jiunge tena.
  Karibu sana.

  Like

 3. ubarikiwe bwana amani, naongeza kingine juhudi ya binadamu + uwezo wa Mungu = mafanikio au Divine Power +Human Effort =success. hiyo ndo kanuni pekee ya kufanikiwa, kuna mafaniko pasipo Mungu ni bure mafanikio yenye Mungu ndani yake hayo mafanikio yanadumu na kuendelea kizazi hadi kizazi

  Like

 4. Pingback: AMKA MTANZANIA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑

%d bloggers like this: